FATWA: MWANACHUONI WA MURITANIA ATOA FATWA KUHUSU UVAMIZI WA UFARANSA DHIDI YA NCHI MALI.

Sheikh
Mohamedul Amiin amesema ni wajibu wa fardhul A'in kwa Kila Muislaam
Kwenda kuwasaidia Ndugu zao waislaam wa Nchini malai baada ya Majeshi ya
Kifarnsa Kuingia ktk Miji ya Kislaam wakiwa na lengo la kuibomoa
nidhamu ya Sheria za Allah iliyowekwa na Mujahideena wa Ansarudyn.
Fatwa
ya Shekhe iliyokuwa na Vipengele 7 ilielezea umuhimu wa Jihad na
Uwajibu wake,ikiwa waislaam wa Mji flani watashambuliwa kijeshi na watu
Makafiri basi inawajibu wa kila mtu kukazi buti ili akimbilie kwenda
kuinusuru mji ya kislaam.
Shekhe
huyo ameifananisha vita hii ya Ufaransa na ile ya Nchini Iraq na
Afaghanistan,na amewaomba waislaam wote ulimwenguni kwenda kuongeza
nguvu Mujahideena wa Mali wanaopambana na majeshi ya Mslabani kutoka
ufarnsa.
Hata
hivyo amesema ktk Nchi yeyote ya Kislaam itakaye shiriki vita hivyo
kuwa Haina kinga na amesema ni wajibu wa nchi hizo kupigwa Vita,
Mwisho
kabisa ktk Fatwa ya Shekhe amesema kuwa ni Muhimu kudumishwa Safu za
Mujahideena na Makundi yote ya Harakati ya Jihadi la Nchini mali kuunga
Nguvu zao pamoja dhidi ya Adui wa Sheria za Allah.
No comments:
Post a Comment