Thursday, August 16, 2012

TAARIFA YA MSIKITI WA IWAMBI

Assalam Alykum ndugu zangu katika imaan alhamdullillah rabil alamin wasalatu wasalam ala saidina muhamad nuru lihidaya saidina abal Qasimu Muhamadi s.a.w .namwomba allah msamaha kwa makosa tunayomtendea yale ya dhahiri na yaliyofichikana kwani kwake hakijifishi chochote kile katika dunia hata kiwe kidogo mithikli ya mdudu chungu chini ya jabali katika usiku wa giza zito .pili tunaomba radhi kwa kuchelewa kupost taarifa hii kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu na allah ni shahid. kiukweli mpaka sasa tupo kwenye kikwazo hizo ila bila shaka allah akitufanyia wepesi tutasweza kupost hii taarifa kwa umakini. Ila kwa kifupi mpaka sasa kinacho endelea masjid iwambi (MBEYA), kikao kilichofanyika wiki moja iliyopita ni hivi 1: ENEO LILE LA MSIKITI IMESHATOLEWA NA WAHUSIKA NA KUFIKISHWA MPAKA KWA MWENYEKITI NA KUPIGWA MIHURI YA USHADI PAMOJA NA WASHAHIDI 2: ENEO LIMEKWISHA PIMWA KWA VIPIMO SAHIHI 3: SASA MICHANGO INAENDELEA KUCHANGISHWA PAMOJA NA KUTAFUTA WAFADHILI 4: HATUA ZOTE ZA MWANZONI ZA UJENZI ZIKO TAYARI 5: UCHIMBA WA MSINGI WA MSIKITI UTAAANZA TAREHE 15/09/2012 Hayo ndo kwa uchache kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa kupitia ; 1:0713076540 2:0717241418 au emailk us: tamsyamist23@gmail.com au tembnelea www.facebook.com na kutoa mchango wako kwenye group TAMSYAMIST

No comments:

Post a Comment