Watu
waliojihami na silaha wamefanya shambulio ktk Mji wa Malindi Pwani mwa
Kenya eneo la watalii wazungu na kuna hasara lililosababisha shambulio
hilo.
Chanzo cha habari zinaeleza kuwa mtu alieficha uso alifanya shambulio ktk eneo wanaopenda watalii wa Kizungu kutoka Italia.
Maofisa
wa Uslama wanasema mtu aliyejihami na silaha nzito aliwafyatulia
risasi watalii waliokuwa wakipumzika eneo la ufukwe mwa bahari.
Watu
walioshuhudia tukio hilo wanasema baada ya tukio hilo kufanyika watu
walikimbilia kwenda kushudia ktk eneo la tukio na huenda mashambulio
yakaongezeka kwani watalii baado wako ktk eneo hilo.
Watu
waliojeruhiwa walikimbizwa ktk Hospitali ya Kenyatta Mjini Nairobi na
kufanyiwa matibabu zaidi,Wengi waliojeruhiwa ni watalii wazungu kutoka
Nchini Itali na Baadhi ya Nchi za Magharibi ziliwaonya Wananchi wake
kutembelea Nchi ya Kenya kutokana na Usalama wa Nchi hiyo kutoweka ktk
miezi zilizopita.
Uchaguzi
unaotarijiwa kufanyika hivi karibuni nchini Kenya unahofiwa kutokea
mashambulio zaidi kutokana na Makundi yanayofanya Mashambulio Nchini
kenya kuwa na nguvu zaidi Ktk Miji Mikubwa Nchini Kenya,baada ya Nchi
hiyo kujiingiza Kijeshi ktk Ardhi ya Kislaam ya Somalia
Sheikh
Mohammul Amiin Walad Maziid ambae ni mongoni mwa mashekhe maarufu
nchini Muratania ametoa Fatwa inayohusiana na uvamizi wa Ufarnsa la
Nchini MALI ambapo Majeshi ya Ufaransa imefanya uvamiziwa kijeshi dhidi
ya Nidhamu ya Utawala Kislaam kaskazini mwa Mali.