Wednesday, February 20, 2013

SHAMBULIO LILILOWAADHIRI WATALII WA KITALIAONO KTK VISWA VYA MALINDI KENYA.


somalimemo.netWatu waliojihami na silaha wamefanya shambulio ktk Mji wa Malindi Pwani mwa Kenya eneo la watalii wazungu na kuna hasara lililosababisha shambulio hilo.
Chanzo cha habari zinaeleza kuwa mtu alieficha uso alifanya shambulio ktk eneo wanaopenda watalii wa Kizungu kutoka Italia.
Maofisa wa Uslama wanasema mtu aliyejihami na silaha nzito aliwafyatulia risasi watalii waliokuwa wakipumzika eneo la ufukwe mwa bahari.
Watu walioshuhudia tukio hilo wanasema baada ya tukio hilo kufanyika watu walikimbilia kwenda kushudia ktk eneo la tukio na huenda mashambulio yakaongezeka kwani watalii baado wako ktk eneo hilo.
Watu waliojeruhiwa walikimbizwa ktk Hospitali ya Kenyatta Mjini Nairobi na kufanyiwa matibabu zaidi,Wengi waliojeruhiwa ni watalii wazungu kutoka Nchini Itali na Baadhi ya Nchi za Magharibi ziliwaonya Wananchi wake kutembelea Nchi ya Kenya kutokana na Usalama wa Nchi hiyo kutoweka ktk miezi zilizopita.
Uchaguzi unaotarijiwa kufanyika hivi karibuni nchini Kenya unahofiwa kutokea mashambulio zaidi kutokana na Makundi yanayofanya Mashambulio Nchini kenya kuwa na nguvu zaidi Ktk Miji Mikubwa Nchini Kenya,baada ya Nchi hiyo kujiingiza Kijeshi ktk Ardhi ya Kislaam ya Somalia

Friday, January 25, 2013

KUHUSU MALI


FATWA: MWANACHUONI WA MURITANIA ATOA FATWA KUHUSU UVAMIZI WA UFARANSA DHIDI YA NCHI MALI.

Written by Administrator on
somalimemo.netSheikh Mohammul Amiin Walad Maziid ambae ni mongoni mwa mashekhe maarufu nchini Muratania ametoa Fatwa inayohusiana na uvamizi wa Ufarnsa la Nchini MALI ambapo Majeshi ya Ufaransa imefanya uvamiziwa kijeshi dhidi ya Nidhamu ya Utawala Kislaam kaskazini mwa Mali.
Sheikh Mohamedul Amiin amesema ni wajibu wa fardhul A'in kwa Kila Muislaam Kwenda kuwasaidia Ndugu zao waislaam wa Nchini malai baada ya Majeshi ya Kifarnsa Kuingia ktk Miji ya Kislaam wakiwa na lengo la kuibomoa nidhamu ya Sheria za Allah iliyowekwa na Mujahideena wa Ansarudyn.
Fatwa ya Shekhe iliyokuwa na Vipengele 7 ilielezea umuhimu wa Jihad na Uwajibu wake,ikiwa waislaam wa Mji flani watashambuliwa kijeshi na watu Makafiri basi inawajibu wa kila mtu kukazi buti ili akimbilie kwenda kuinusuru mji ya kislaam.
Shekhe huyo ameifananisha vita hii ya Ufaransa na ile ya Nchini Iraq na Afaghanistan,na amewaomba waislaam wote ulimwenguni kwenda kuongeza nguvu Mujahideena wa Mali wanaopambana na majeshi ya Mslabani kutoka ufarnsa.
Hata hivyo amesema ktk Nchi yeyote ya Kislaam itakaye shiriki vita hivyo kuwa Haina kinga na amesema ni wajibu wa nchi hizo kupigwa Vita,




Mwisho kabisa ktk Fatwa ya Shekhe amesema kuwa ni Muhimu kudumishwa Safu za Mujahideena na Makundi yote ya Harakati ya Jihadi la Nchini mali kuunga Nguvu zao pamoja dhidi ya Adui wa Sheria za Allah.